Ukichukua loan make sure ukona payment plan alafu usichukue loan juu kuna watu wanachukua ama juu ukona access to it.
But wasee tulipe deni ndio wengine wafaidike