Ukielewa needs na wants za client, unaingia kwa biashara na both feet, then grow gradually. Na ukweli ni kwamba ROI yake inaweza kupita hata real estate. Just start it .....(imagine credit to the owner)