
Ukifika 25 yrs na bado hujaona light kwa end ya tunnel- relax, hauko pekee. But don’t turn into a sadist, turn into a strategist.🔥
Mat za maisha zitapiga pothole, wengine watapiga nduru, lakini wewe utulie – uko mission.
Ukiwa hauna tools? Tumia kile uko nacho – hata kama ni meno.🥰
Makasi hazipo? No pressure.
Start where you are, with what you have. 💼💡
Na ukijichekelea mara mbili tu kwa mwezi kwa hustle yako😹😹 that’s not madness – ni resilience ya mjasiriamali.💪😂
📌 Lesson?
Don’t quit, adapt.
Don’t complain, create.
Don’t wait, MOVE.
#GenZInBiz
0
0
0