
Ukimake doh yako pale kwa biz usikubali ilale tu kwa bank ama Mshwari. Kuna savings plan fiti sana pale Britam, wanaokolea mayut wengi na hii stuff inajiita Imarika Savings Plan. Unapata doh yako inapata interest mosmos ju hio ni investment ya wasee wa mtaani na unaeza withdraw maweng anytime unadai kwa mpesa. Unajifungulia account na simu yako na unaanza ku save apo apo, niulize swali nikuokolee...tusaidiane ku grow.
0
0
0