Ukiona wasee wa Nairobi wanameesha kitchen garden 🌽 🌿 🍅🥒 kwa compound au balcony, jua soko ni chafu!
Watu wengi wanzidi kugutuka kuhusu hatari za hizi pesticides. Ndio maana hata kesi za cancer ziko juu 📈
Wasee wa Githurai, Muthurwa na Kangemi mmejionea habari hizi? ⬇️
0
0
0