ukipiga wood work yako safi ama art , alafu mtu apige order utengeneze alafu a cancel aseme hakua analysis ivo after the whole hard work.! Unaeza deal aje na hiyo situation..