Ukishafanya biz yako na inafanya poa . Cashflow iko sawa unapata profit unafaa pia kuexpand biz yako . Kama kufanya delivery kwa wasee hawawezi fika at you work place kuboost label yako