Ukitaka kuenda far in your biz, avoid supply ya goods hazina receipts coz KRA hukua rada, usikubali kuletewa stock ya wizi, have all your receipts just to be safe.