
Ukitaka kufika haraka tembea alone, but kama unataka kuenda far tembea na wenzako. Na kuna hii saying, kutangulia kwa bar si kulewa.
Anyway, mayouths this is our time!! IT IS HERE!! THE MESH YOUTH MOVEMENT. Let's make MESH a youth movement. Tufanye kazi pamoja, kumbuka kufika mbele ya watu alone is not the way, kuna challenges in life that we need one another kutackle pamoja. #ThisIsIt #MESH #TheMove #Together #Tujengane
0
0
0