Ukiwa mtaani na huna job, tafuta KSh 300.
Enda kwa Muindi hapo tao anauza malimali na plastics. Chukua transparent bucket ya KSh 80, alafu nunua pegs za KSh 1 moja. Buy za KSh 200, zipange hapo ndani, alafu ingia estates za mtaa.
Uuzie wamama 5 pcs @ KSh 10.
Huwezi kaa 15 minutes bila kuuza hata kama ni kwa nguvu ya mdomo 😂. Ukimaliza stock, rudi kwa huyo jamaa uongeze nyingine.
By jioni, ukijipanga vizuri, KSh 800 haiko mbali. Politely. 😂
Ile KSh 20 tulibakisha, chongewa miwa juu jua ni kali. 🌴😂
Kazi ziko mingi Kenya. Inataka tu buruweins, consistency na kujituma.
#Kujengana
0
0
0