
Ukiwa na 15k ni possible kuanza io biz ya slides na doll shoes.First ju io ni capital kidogo ni better utafute soko busy sana utandike izo viatu kwa sababu hio kurent nyumba ya busines itakumalizia doh before upate ata stock in order kuvutia customer you have to keep your house in order place unique kama wire mesh zingine unaeka chini zingine unaanika juu sana sana soko busy ama stage ya watu wa nduthi Tembea place kama Eastleigh, Kenyatta market ama kamukunji usi rely on one market na pia usi ende just one day explore like 3 to 4 days ivyo utapata different offers one every market. Since madame wanapenda slides sana focus na slides za madame unique na izo dolls shoes all sizes because pia older women prefer this shoes... Slides unaeza chukua za 5k na doll shoes 5k thats easier for you kujua umeanza na ngapi.The remaining 5k ni wire mesh ya kuzi hung you can consider ya kama 3k Hapana ume Baki na 2k io unanunua vitu za kupanguza izo shoes ju usafi muhimu it attracts more customers. Word of mouth muhimu una ita customers wako na word of mouth sana sana unajimarket wakipita ata msee kama hakuwa anataka kununua ata nunua. Remember constiency matters usi give up siku za kwanza inaeza kosa kujipa ju ni mpya but make your customers depend on you.with time Kuna wale frequent customers kuwa unawapee offers ndo warudi tena na tena. Pia kuna neighbouring area unaenda na siku ya soko unaanika



