
🛍️Ukiwa na biz, ni important kujua vile uta-satisfy customers wako!
🤑Cheki vile unaweza sell even more to different customers:
- Ku-market new products kwa customers wako wa kawaida ama wa kila siku.
- Ku-market new products umeleta to new consumers.
- Ku-market products uko nazo already to new consumers.
☝️Kwa hizi 3, unatumia ideas gani ku-increase sales kwa biz yako?
0
0
0