Ukiwa serious na content creation, YouTube Analytics ni kitu usitake ku-miss. Hua inaonesha details za watch time, demographics, na sources za traffic. Hii data ni crucial kaa unataka kukua pro kwa content game ya YouTube.

0