Ukiwa Unapata Salary ya 50k per month, uneza Kaa Kwa nyumba ya pesa ngapi?? Na uko na expenses kama school fees, chakula, nguo.😊