Ukiwacha emotions zikuendeshe kwa biz, utakamuliwa bila huruma. Cheza kama accountant — hesabu kwanza, feelings baadaye. Pesa haipendi makasiriko, inataka plan na discipline.
#SisiNiMesh