Uko na biz safi lakini bado huna website? Unamiss out na opportunities mob za ku-get clients online.
Kama unafanya dropshipping, unahitaji kuwa brand. Mtu akikusikia ama akiona bidhaa zako, a-google tu akupate. Simple search pale Google inatosha—na hiyo inatokana na kuwa na site.
Nafanyanga websites kwa bei poa, na unapata:
Free hosting ya Google (inakusaidia rank vizuri kwa search results)
AI integration—so client akikuinbox na hauko online, bado anahudumiwa
WhatsApp me: https://wa.me/25473473199 Tuchape kazi kabla competition yako iku-overtake online.

0
0
0