
Uko na biz, unatumia kitabu na karatasi kuandika vitu umeuza, ama receipt zako ni paper based. Unataka kujua vile biz inaleta faida, ukisaka vile utapunguza hasara bika kuumiza tumbo yako.
Kujipanga mapema ndio best. Nichapie. At a small fee, takufungulia spreadsheet after uneniwai receipt ya 3 months, stock ya jana, added stock, sold stock.mi tafanya remaining ufanye confirmation physically.
Hiyo info ndio taweka kwa excel halafu itaweza trace performance yako ya hiyo mwaka.
Usishtuke ati Gova inaongeza tax. Hizo ma software mob mob takufanyia hiyo kazi kwa affordable fee depending on conversation yetu.
Hao Competitors takushow vile utafight na wao ndio ukue.mbele.
Usichoke na biz. Tafuta 121050DC.
EMAIL' rioloko.ark@gmail.com

0
0
0