🤔Uko na business, ama una-plan kuanza biz yako soon?
Ku-avoid noma na gava, cheki importance ya kuwa na all legal documents.
👇Tushow kwa comments kama hii post imekusaidia.