
Uko na plan B incase biashara ama hustle yako ita face emergency ama shida zenye haukutarajia?Skiza vile Edu mwenye ako na biashara ya viatu za mitumba amejipanga ku-handle emergency kama theft ama fire kwa biz yake. Umewai pata kijana wa biashara mwenye ame save pesa za emergency kama Edu kwa biz yake? #ShujaazBiz #Lindafam
0
0
0