
Uko nje kuna mayouth wako na passion in content writing, article writing, transcription, data entry. But hawana mahali wanaeza learn skills. Msiworry kuna ajira.com Inapeana izo services for free, uta create tu account, then una choose ile kitu uko interested nayo, then you are booked for a virtual class, apo sasa unatafuta data ya learning for two days, alafu kuna mentorship for 1 month.
0
0
0