
π° Uko rada na story za Cashflow?
π Karibu kwa session ya Jenga Na Deloitte kesho, 2pm online.
π Uta-get nini kwa session?
-
Engaging Discussions: Kila mtu ako open kubonga, kutoa maoni, ku-share challenges, ask questions, na ku-discuss journey yako ya biz.
-
Proven Strategies: Uta-get kujua ways zina-wrok za ku-boost cashflow yako, ku-invest poa and more.
-
Networking: Connect na like-minded MESHers, wasee wako na biz, wana-plan kuanza biz, success stories.
-
Kujengana: Jua resources fiti wasee wanatumia kwa biz zao, na tools zitaku-help ku-up financial game yako.
π¬ Si Tubonge, tukingoja session ya kesho na Gabriel:
πͺShare cashflow tip unatumia ku-make sure uko sorted, vile economy iko tight saa hii.
Link ya session. Invite a friend pia: https://deloitte.zoom.us/j/...
