
Uliingia biz bila budget na plan?
Ulidrop out shule?
You loved the wrong person ukajisahau? Uliignore advice?
Ulihama mtaa bila job juu ya pressure ya kuanza life?
Ama ulifanya nini?
Ukiflash back 5 years ago, decision gani unafeel hapa nliblunder and its tge source of my misery?
0
0
0