
Ulimwengu tunaoishi sasa ni lazima kama ibada kutumia simu ama tarakilishi kimawasiliano bila shaka hautaebuka kuchaza credo ndio uonge na sector ya mawasiliano inazidi kuboresha Kuona wateja wake wanaongea bila stress ndio basi tumeleta electronic airtime usiwe unatembea kutafuta duka kwa mfano ulikuwa zoom bundle zikaisha ikabidi utumie paybill ndio haraka na rahisi
0
0
0