Ulipie supplier mapema... ama usubiri due date? 🤔
Watu wengi hudhani hii ni cash flow decision.
Wakati mwingine ni profit decision. 😅
Supplier akikwambia:
"Lipa ndani ya siku 10 upate discount."
Usijiulize tu,
"Nitashikilia cash."
Jiulize pia,
"Hii cash inaweza kuniletea return kubwa kuliko hiyo discount?" 👀
Kama jibu ni ndio, shikilia cash.
Kama ni hapana, chukua discount.
Lakini...
Usilipe mapema kama itabaki biashara ikihangaika kulipa rent, salaries ama suppliers wengine. 😬
Na bonus moja watu husahau...
Suppliers hukumbuka wale hulipa vizuri.
Mara nyingi ndio hupewa better prices, terms na priority ya stock.
Every shilling should have a job.
Swali ni...
Kazi yake ni gani? 👇
0
0
0