Umeajiri mtu kwa duka yako mchana.
Usiku unarudi kuhesabu stock lakini hesabu haziingii...
Mnatumia njia gani kujua nani alikopa na nani alilipa kwa duka yako?
Kuzungushwa yenye ninazungushwa hapa, ni kama naibiwa 🤔