
Umecheki hii Street Vendors Bill?
“Hakuna mtu atakua allowed kufanya biz ya street vending bila licence. Na kupata hiyo licence inabidi u-apply na ulipe fee.”
"Kama unapiga shugli yako kwa area imekua banned (no-vending zone) bila special permit, unaweza kushikwa, miezi 6 ndani na fine ya upto 10K.”




0
0
0