
Umechora vitu kibao na hakuna mtu amewahi kulipa? 😭 What if ukicreate jersey ya Harambee Stars alafu in the end ukishinda ukue unapiga nduru na 150K kwa mfuko? 🏆💰 Incase ukose kushinda, ukue runner-up bado utachukua 100K! Na ujue uko na hadi 15th April... Msijifanye busy huko na memes za Man U 😑😂
Submission link: communications@footballkeny...
More details: https://x.com/football_keny...

0
0
0