
π Umefikiria kuanzisha #Biz lakini hauna ideas.π€ Cheki form ππΎ
#Community ime-note kuna MESHers wengi sana wanadai kuanzisha #Biz lakini hawajui place ya kuanza. Skia hizi Biz ideas unaeza anza na less than 5k π
- Kuuza Cosmetics; Fast moving cosmetics ziko na doh especially kama uko na good networks na madem.
- Water distribution; Hii Biz hushika, sana sana kwa areas ziko na water shortage.
- Juice Bar; Have you noticed kuna demand ya fresh juice siku hizi? With the right location na marketing fiti, hii ni Biz unaeza anza na less than 5k.
- Deliveries; Siku hizi kila kitu iko onlineπ² Apps za ku-deliver food and other products zimekua on demand! Hata na mountain bike, unaeza anza hii #Biz
- Blogging; Kama uko na content fiti, you can write for blogs for a fee ama uanzishe blog yako kali
Ideas kadhaa ndio hizo, gani imekubamba? Ongezea kwa list pia! π All ideas are welcome!

0
0
0