
🛍️Umeguza pocket ama umeguza roho ya mteja?🫣
Let’s talk business profiling. Meshers, tushare: 👉 Ushawai kua profiled while shopping or doing business? Like unaingia kwa shop alafu wasee wanafakuku-serve wanakupima thinking huna mapesa!! 👉 Ama wewe mwenyewe umewahi judge customer based on appearance that huyu ata-spend doh mob alafu wakaku-surprise with no spending??
Drop story yako kwa comments. Let’s learn, laugh (or cringe) together, juu hapa, tunajengana!
0
0
0