Umejipangaje kwa hii rainy season yenye imeanza? Wenye mlikuwa kwa open vibanda, hawkers na wenye huuzia open market . How are you prepared ?