
Umejua Jua Hali yako mdau. Leo ni Ile siku ya ku promote #HIVandAIDs awareness. Kama uko positive usiworry endelea kumeza dawa, piga tiza na usiwai sahau kulinda wenye wako negative. Kama uko negative endelea kujikinga kila wakati.
#ShujaazBiz #ChukuaSelfie #worldaidsday
0
0
0