
Umekua ukijiulliza hii badge ni ya nini!?!? Leo nadai kuwachanua.
Hii badge ni rare sana ku-get, but very easy kui-get! This badge ni ya our experienced MESHers wenye wana-offer mentorship to other members. Ku-offer mentorship ni kuprovide information kuhusu hustle yako na life yako, na pia ku-provide guidance, motivation, emotional support na kukuwa role model kwa community. Keep doing what you do!
You are one step close to achieving our MESH Mentor badge!!!
#TUJENGANE

0
0
0