
🤔Umekua ukitafuta strategies unaweza use ku-get loans?
Unafaa ku-manage loans na credit aje ndio uweze kujijenga?
Faith ata-share details zote kwa session ya Jenga Na Deloitte this Friday, online from 2pm.
Tokea na pia invite mabeshte tujengane!
Join via zoom na hii link:👉 https://deloitte.zoom.us/j/...

0
0
0