
💰 Umekua ukitafuta ways za ku-raise capital ya kuanza ama ku-grow biz yako?
💪Leo tunajengwa na ideas fiti sana kwa session ya Jenga Na Deloitte.
🎯Join online at 2PM, invite mabeshte pia tujengane pamoja.💡
🚀Please join na hii link: https://deloitte.zoom.us/j/...

0
0
0