
Umekutana na Nairobi's geometric barber kweli ?
Zachariah anatumia geometric tools ku-create insane haircuts and beards kwa clients wake. Anajulikana kama Nairobi's geometric barber.
How are you trying to be unique in your biz? What are some of the ways msee wa kinyozi anaweza implement ndio aweze kustand out kwa crowd ya Kinyozi business ?Ebu tuchanuane hapa kwa comment section. šššš
Unaweza cheki hii link uone some of his work Link: https://www.tiktok.com/@geo...

0
0
0