
Umekuwa na challenges za kulipa ONLINE purchases ama services? Safaricom wameleta the most easiest solution. Just activated my GlobalPay Card. Customer wa safcom wanaeza activate the card via MP-PESA App by selecting MPESA GlobalPay under the “Pay” or “Grow” option. Ama, kama mimi, unaeza dial *334# the select option 6 "Lipa Na MPESA" followed by "MPESA GlobalPay". Hii pia inaeza okolea sana kuget chedax kama wewe ni msee ku travel meaning saa hizi unaeza access ya funds anywere in the world. #Tujijenge

0
0
0