
"Umeshawahi kuwa na ile moment unajiuliza, 'hii ni bafu ama niko kwa transformer?' 🤔😂 Ukioga na shower inawaka red light kama inataka kukutoa kwenye system, ndio unajua unaishi Kenya. Hii maji ni hot lakini ile fear ni real! 🔥🚿
Cheki hapa, je utaingia au utapiga chenga? 😂👇

0
0
0