
Umesoma Finance Bill 2025?
Gava inadai ku-access data ya finances zako from banks and other financial institutions kama saccos, mobile money etc.
CS Mbadi anasema KRA will not Spy on you, wana-target Financial Info tu.
Una support hii idea?
Weka maoni kwa comments, tuchapiane.

0
0
0