
Umewahi jiuliza mbona hizo balls huwekwa kwa high voltage power line, area zingine na zingine hakuna.
Hizi balls huwekwa coz ya kumake hizo power cable zikue visible kwa area yenye visibility iko very low, this hukua important kwa pilots and other air crafts zikipita hiyo area zikue aware. Now you know 😀

0
0
0