
Umewahi jiuuliza mbona Utapata two sellers selling same product , wanabuy kwa wholesale same na wanauza price same hukuwa na different number of customers!!! Utapata mwingine ana 30 then mwingine 200 ..... Kwani shida hukuwa wapiih?? To make it disturbing Hadi utapata mwingine anauza higher price na ana customer wengine kuliko mwenye anauza low price. Ebu tuchanuane before kikurambe as youths.


0
0
0