
Una-Plan Ku-get Loan?! π€
π€ Chekiππ½the 6 Things Unafaa Kujua Before Taking One!!
-
You make sure ume-check Reputation ya Financial Institution. Biko Okinyo anadai u-make sure lender ame-evaluate credit report yako before approving Biz loan application yako. Kama ume-chukua online Biz loan, find out kama lender akona physical loacation ama wakona online presence only ndio ujue legitimacy of the institution.
-
You should know the Loan Size. Derrick Nyangeri ana-believe hii hukua a significant factor ukichukua Biz loan cause not all lender ama business financing options watakupea the amount you need. Ukijua the amount you need, unaweza check which institution itakupea that amount.
-
You should plan well. Advice ya Becky Abere ni u-consider the amount of loan unataka, for example: Loan utapewa inaweza kua more ama inaweza kua less than what you expected. Depending on the institution ume-chukua loan, rates hukua-different, the amount of ume-apply is not the amount uta-get, msee hupata less depending on lender rates hence umuhimu wa kujipanga.
-
You should consider Nature of the business. No customers= No sales hence no profit/income!! Vicky Vicky ana-share that msee anafaa ku-consider kama ni biz iko down ama ni customer wamepungua. Ukichukua loan na may be ni customers hawako, it will be a huge loss.
-
You should know the repayment terms. Ann Wanjiku anadai unafaa ku-consider all fees zenye ziko needed uki-repay loan before applying e.g., Uki-delay kulipa, kuna late repayment fee? Also make sure kama loan ni short term na ikona high interest rates, make sure options zako ziko open. Unaweza borrow from friends ama utafute a different lender with cheaper rates.
-
You make sure it will add value rather than bring losses. Research ni muhimu before u-apply loan. Vicky Vicky ana-share that unafaa ku-consider kama ukilipa hio loan bado utabaki na doh ya kuendeleza biz ama itabidi tena umekopa juu umelipa mapema, ama ni doh mob kulipa.
Mnaeza ongeza tips gani kwa list? π€
