Unaamka Asubuhi, unaskia Mwanasiasa anakuja mahali. Unaacha kuenda hustle unakimbia huko. Kufika huko unangooojea- mnapewa 100/-. Kufika kwa njia umeibiwa simu ya 18k ππππ. Mungu Wanguπ΄π΄