
Unacheck hio clad mpya umeng'aria leo? Chapo? Nyake? Fruits?..... in fact kila ingredient ya what made you happy leo... imepitia kwa mikono ya mkulima.
As we all celebrate hii day pamoja na our loved ones, sema a word or two in your prayers kwa fellow wakulima as way ya kutu-celebrate and kutuonesha love, juu the past few months haijakuwa easy.
Merry Christmas π€Άπ fellow meshers, most importantly, fellow farmers.

0
0
0