
Unacheka online alafu ukirudi kwa bed unaskia the gap. Ile stress ya home, expectations za society, na pressure ya ku-prove yourself inakukula mosmos.So unajidistract na content, videos, ama jokes. Unajisahaulisha na TikTok, Netflix, na memes—lakini ukweli ni ati you are going through alot. Ukiulizwa uko aje unasema "poa" lakini ukweli ni deep. Tunafaa ku-normalize kuongea openly this Mental Health Awareness month.
So, how are you my friend, how do you do my friend...?

0
0
0