Unacheki hapo juu ya profile yako? Hapo ni kama mlango ya duka—kama iko plain na boring, hakuna msee ataingia. Piga cover photo fiti, bio safi na showcase ya kazi zako top. Watu hawanunui kazi tu, wananunua presentation.