
Unadai ku-join 🔝 💯Growing⬆️⬆️ MESHers? Hii ndio siri!👇 MESHers washa-complete UpdatingProfiles wana-get a higher chance ya kutambulikana /ku-get opportunities na gigs kwa Community yetu. Tunajua #Luku ni #Luku - same na profile yako💪. Cheki simple steps za ku-update. Kumbuka pia this week tunaeza Jijenga na #ProfileUpdateChallenge ambayo ina-run.
0
0
0