
Unadai kuingia soko ya nje na your farm produce?
Kabla mazao kufika kwa shelves za majuu, kuna 5 hizi key steps unafaa ku'follow.
✅ Grading ✅ Packaging ✅ Traceability ✅ Organic standards ✅ Certification
Ku'learn more unaeza check hii video ya A Guide on how to export farm produce from Kenya – pale YouTube 👇👇
https://www.youtube.com/wat...

0
0
0