
Unaeza du hivi.., drinks hukam in a specific number, tuseme 24 drinks in one pack, unachukua the wholesale price umebuy nayo that pack, unadivide by the number of drinks inside it, ile number utapata hio ndo itakuguide on how many shillings utaongeza juu yake ndo upate profit. hapo unajua utauza moja ngapi. The same applies for books. So as to avoid overpricing the client unafanya research ya the retail price ya hizo bidhaa kwa other retailers ndo unajua the limit yenye unafaa kufika. To avoid losses zenye hucome sanasana juu ya transport ukiendea the goods, unaendea in bulk pamoja na zingine ndo usipate unarudi mfuko yet umefanya the right calculations.
0
0
0