
Unaeza tumia AI aji kuimprove biz yako :
Artificial intelligence (AI) hizi ni software zinaeza fanya kazi inaitaji human intelligence, vitu mingi unafanya on daily bases kama kutegeneza posters, flyers, kucreate content social media ama kuedit vidaa na picha unaeza pata software ya kukufanyia iyo kazi yote ,faster na more efficient.
Usikuwe scared etii Ai itachukua job yako , but ni poa kama unaeza itumia to your advantage , upee clients wako kazi safi 🔥
Kuna software kadhaa acha tuname a few :
1.chatgpt - solves anything 2. Midjourney - creates arts 3.pictory - edit videos 4. Soundraw - generates music
Kama kuna AI ingine umetumia useful feel free kuongeza hapo kwa comment section 🙏

0
0
0