Unaingia Kwa soko unapata the whole area ni Mtush pekee hadi unajiuliza sellers hu-survive aje in such an environment, siri hua gani in such a place?